Omriama is an online media platform delivering entertainment, music, business, and international news from Tanzania and around the world.
about
Category: news
-

MTONI Kwa masikitiko makubwa, tunawatangazia ndugu, jamaa na marafiki kifo cha mzee wetu mpendwa, marehemu #WILSON_SALEHE, baba wa Deborah, aliyekuwa mkazi wa Kijiji cha F2, CL1, PL19. Marehemu amefariki dunia tarehe 09 Februari 2026, majira ya jioni saa kumi na mbili (6:00 PM), kufuatia ajali ya maporomoko ya maji yenye kasi kubwa katika mto unaojulikana…
-

Familia, ndugu, jamaa na marafiki wanataarifu kwa masikitiko makubwa kifo cha Luúndú Pierre (maarufu kama Thiago), kilichotokea siku ya Jumanne, tarehe 10 Februari 2026, katika Kijiji cha D3.2.1, Zone ya Tano, ndani ya Kambi ya Wakimbizi ya Nyarugusu, mkoani Kigoma, Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa zilizothibitishwa, marehemu alifariki dunia baada ya kujinyonga nyumbani kwake, tukio…
-

Kijana mmoja raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo anayefahamika kwa jina la ARIO, ambaye alikuwa mkimbizi na mkazi wa muda mrefu wa Kambi ya Wakimbizi Nyarugusu, mkoani Kigoma, amefariki dunia. Marehemu ARIO, mkazi wa Kijiji cha R2, Zone ya Nne, Nyarugusu, inaripotiwa kuwa alifariki dunia tarehe 5 Februari 2026, wakati akiwa katika harakati za…
-

Kwa masikitiko makubwa na kwa heshima ya hali ya juu, ninaandika kumbukumbu hii kama alama ya upendo, shukrani na heshima kwa bibi yangu mpendwa, Moshi Mlonge Amisi, maarufu kwa jina la Pooh. Marehemu alizaliwa tarehe 31 Januari 1952, na alifariki dunia tarehe 25 Januari 2026. Alizikwa tarehe 28 Januari 2026. Alikuwa shangazi wa baba yangu…
-

One of the events that did not have many videos but that aroused feelings and wide discussion among people around the world is a video that recently went viral from the Democratic Republic of Congo (DRC). The video shows a family in a field, engaged in agricultural activities using a traditional hoe, a type of…
-

Bernadette Zawadi, anayejulikana zaidi kwa jina la Rebo Queen, ni msanii anayekuja kwa kasi kutoka Nyarugusu, ambaye kwa sasa anaishi nchini Marekani. Hivi karibuni, sauti inayodaiwa kuwa yake imevuja mitandaoni, ikimwonyesha akizungumza na mganga kutoka Nyarugusu, huku yeye akiwa bado anaishi Marekani. Katika sauti hiyo, inadaiwa Rebo Queen anazungumzia nia ya kumdhuru kwa njia za…


