Omriama is an online media platform delivering entertainment, music, business, and international news from Tanzania and around the world.
about
Category: music
-

Msanii Bellany Bell ameendelea kuthibitisha ukuaji wake katika tasnia ya muziki baada ya kuachia rasmi wimbo wake mpya unaoitwa “Chibaba Wangu”, aliomshirikisha msanii Dogo Zuuh, anayefahamika pia kama Malkia Zuuh. Wimbo huo kwa sasa tayari unapatikana rasmi kwenye mtandao wa YouTube na umeanza kupokelewa kwa mwitikio mzuri kutoka kwa mashabiki wa muziki. Ndani ya masaa…