Omriama is an online media platform delivering entertainment, music, business, and international news from Tanzania and around the world.

Category: Sport

  • CONGO YAIONDOA JAMAICA, SASA KUKABILIANA NA URENO

    Timu ya taifa ya Congo imefanikiwa kutinga hatua inayofuata baada ya kuibuka na ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya Jamaica katika mchezo uliopigwa nchini Mexico. Katika mechi hiyo, Congo ilionyesha nidhamu kubwa ya ulinzi na umakini wa hali ya juu, ikitumia vyema nafasi chache zilizojitokeza na kufanikiwa kupata bao la ushindi lililowavusha hadi hatua…